Beki wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Ibrahim Bacca akimiliki mpira wakati wa mchezo maalum wa ufunguzi wa Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar uliofanyika jana usiku baada ya kufunguliwa Uwanja huo ikiwa ni Shamrashamra za Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.Timu hizo zimetoka sara ya bila kufungana.
GGML Kili Challenge Yashiriki Maonesho ya Kilimanjaro Marathon 2026
-
Moshi, Tanzania
GGML Kili Challenge inayotekelezwa kupitia GGML Kili Trust, inashiriki
Kilimanjaro Marathon 2026, maarufu kama “Mbio za Watu”, kupitia ma...
6 hours ago

















0 Comments