Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Zanzibar Mhe Jamal Kassim Ali akikabidhiwa fomu ya usajili wa kuwa Mwanachama wa Taasisi ya Wahasibu Wakaguzi na Washauri elekezi wa Kodi (ZIAAT) akikabidhiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa CPA Ndg. Ame . Shadhil, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Jengo la Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar leo 20-2-2024.
AMBONI ADVENTURE RUN, FURSA YA KUTANGAZA MAPANGO YA AMBONI TANGA
-
Na Kassim Nyaki, Amboni Tanga.
Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro imeshiriki na kudhamini mbio za AmbonI
Adventure run zilizofanyika leo tarehe 31 Januari ...
20 minutes ago

0 Comments