Mshambuliaji wa Timu ya Azam Feisal Salum (Feitoto) akijiandaa kupita beki wa Timu ya KMKM wakati wa mchezo wao wa Kombe la Shirikisho mchezo uliyofanyika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, katika mchezo huo timu ya Azam imeshinda bao 2-0.
VIONGOZI MBALIMBALI WAKISAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO WAKATI WA IBADA YA
KUMUOMBEA NA KUAGA MWILI WA MAREHEMU MHE. WILLIAM LUKUVI
-
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya
Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo katika ibada ya kuaga mwili
wa ...
7 minutes ago









0 Comments