Mshambuliaji wa Timu ya Mlandege akiruka mkwanja wa beki wa Timu ya Mafunzo wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar PBZ mchezo uliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedung.Katika mchezo huo timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana.0-0.
Airtel Yazindua Mnara wa Mawasiliano Machimbo, Tabata
-
*Dar es Salaam*
KAMPUNI ya Airtel Tanzania imezindua rasmi mnara wa mawasiliano wenye
teknolojia ya 4G na 5G katika mtaa wa Machimbo, Tabata, ikiwa ni se...
5 hours ago

0 Comments