Wachezaji wa Timu ya JKU na Malindi wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar PBZ,mchezo uliyofayika katika Uwanja wa Mao Zedung Jijini Zanzibar. katika mchezo huo timu hiyo zimetoka sare ya bao 1-1.
MBUNGE KILOMBERO ATOA POLE KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO, APOKEA MSAADA WA
MAGODORO, CHAKULA.
-
Mbunge wa Jimbo la Kilombero, Abubakari Asenga, ametoa pole kwa wananchi wa
jimbo hilo waliokumbwa na mafuriko makubwa yaliyosababishwa na mvua
zinazoend...
9 minutes ago












0 Comments