Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar Mhe.Mahmoud Muhammed Mussa (kushoto) akiwa katika mazungumza na Mjumbe wa Kopru Mabingwa wa utengenezaji wa rangi kutoka Nchini Uturuki wenye Ofisi zake Jijini Dar es Salaam, ukiwa katika mazungumzo na Mstahiki Meya, yaliyofanyika katika ofisi za Meya Michezani Mall Jijini Zanzibar.
WAZIRI MASAUNI ACHAGULIWA MAKAMU WA RAIS BARAZA LA MAZINGIRA LA UMOJA WA
MATAIFA
-
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe.
Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Baraza la
Mazingi...
1 hour ago

0 Comments