6/recent/ticker-posts

Uzinduzi wa Skuli ya Sekondari Tunguu Wilaya ya Kati Unguja Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar


WAZIRI wa Maji,Nishati na Madini Zanzibar Mhe.Nadir Abdullatif Alwardy akiondoa pazia  na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Khadija Salum Ali (kushoto) kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Tunguu Wilaya ya Kati Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 24-12-2026, ikiwa ni shamrashamra za maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar
WAZIRI wa Maji,Nishati na Madini Zanzibar Mhe.Nadir Abdullatif Alwardy akiondoa pazia  na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Khadija Salum Ali (kushoto) kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Tunguu Wilaya ya Kati Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 24-12-2026, ikiwa ni shamrashamra za maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
WAZIRI wa Maji,Nishati na Madini Zanzibar Mhe.Nadir Abdullatif Alwardy akikapa utepe kuifungua Skuli ya Sekondari Tunguu na (kushoto kwake) Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Khadija Salum Ali (kulia kwake)Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja Mhe.Rajab Ali Rajab,ufunguzi huo uliyofanyika leo 24-12-2025 ikiwa ni shamrashamra za maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

WAZIRI wa Maji,Nishati na Madini Zanzibar Mhe.Nadir Abdullatif Alwardy akizungumza na Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari Tunguu wakati akitembelea maabara ya Bioloji baada ya kuifungua skuli hiyo leo 24-12-2025, ikiwa ni shamrashamra za maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar












 

Post a Comment

0 Comments