Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Shule ya Kijeshi ya Ulinzi wa Anga (SKUA) mkoani Tanga kwa ajili ya kufungua mkutano wa 9 wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Makamanda, tarehe 15 Desemba, 2025.
GoldBod Yabadili Sekta ya Dhahabu Ghana, Tanzania Yapata Mafunzo Muhimu ya
Mageuzi katika Sekta ya Madini Afrika
-
Accra, Ghana
Tume ya Madini Tanzania imefanya ziara ya kikazi kwa Bodi ya Dhahabu ya
Ghana (Ghana Gold Board – GoldBod) jijini Accra, ikiwa na lengo la
...
28 minutes ago



0 Comments