6/recent/ticker-posts

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA WAOMBELEZAJI KUAGA MWILI WA JENISTA JOAKIM MHAGAMA ALIYEKUWA MBUNGE WA JIMBO LA PERAMIHO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza waombelezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho Marehemu Jenista Joakim Mhagama katika Kanisa Katoliki Parokia ya Kiwanja Cha Ndege,Jimbo Kuu Dodoma, tarehe 13 Desemba, 2025 jijini Dodoma.



 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na waombelezaji mara baada ya ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho Marehemu Jenista Joakim Mhagama katika Kanisa Katoliki Parokia ya Kiwanja Cha Ndege, Jimbo Kuu Dodoma, tarehe 13 Desemba, 2025 jijini Dodoma.

Post a Comment

0 Comments