Refa wa Mchezo wa Ligi Kuu ya PBZ Zanzibar 2025/2026 akizngumza na kusisitiza jambo kwa kocha wa Timu ya KVZ wakati wa mchezo wa Ligi hiyo mchezo uliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong. Timu ya Zimamoto katika mchezo Timu ya Zimamoto imeshinda.
NAIBU WAZIRI KIHENZILE ATEMBELEA BANDA LA TCAA MKUTANO WA 18 WA PAMOJA WA
MAPITIO YA SEKTA YA USAFIRISHAJI
-
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile, Disemba 15, 2025
ametembelea banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) katika
Mkutano wa 18 wa...
2 hours ago











0 Comments