6/recent/ticker-posts

Timu ya Mpendae Yashinda Mchezo Wake Dhidi ya Good Morning kwa Vikapu 55-20, Katika Mchezo wa Ligi Kanda ya Unguja Uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedong

Mchezaji wa Timu ya Mpendae akijaribu kiwapita wachezaji wac Timu ya Good Morning wakati wa mchezo wao wa Ligi Mpira wa Kikapu Kanda ya Unguja mchezo uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedong.Timu ya Mpendae imeshinda mchezo huo kwa Vikapu 55-20.








 

Post a Comment

0 Comments