6/recent/ticker-posts

Timu ya New King Imeshinda Mchezo wake wa Ligi Kuu ya PBZ Zanzibar 2025/ 2026 Dhidi ya Timu Malindi kwa Bao 2-1 Mchezo Uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedong

Mchezaji wa Timu ya Malindi akimiliki mpira akijiandaa kumpita beki wa Timu ya New King, katika mchezo wa Ligi Kuu ya PBZ Zanzibar 2-25 /2026 mchezo uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedong.Timu ya New King imeshinda mchezo huo kwa bao 2-1.









 

Post a Comment

0 Comments