6/recent/ticker-posts

Timu za Mchezo Ligi Kuu ya PBZ Zanzibar 2025/2026 Kati ya Polisi na Mafunzo Zatoka Suluhu ya Bao 1-1.

Mchezaji wa Timu ya Polisi na Mafunzo wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya PBZ Zanzibar 2025/2026, mchezo uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedong.Katika mchezo huo timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1. 


 

Post a Comment

0 Comments