Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe.Dkt,Riziki Pembe Juma akizungumza na Wajumbe wa Kamati mbalimbali za Michuano ya NMB Mapinduzi Cup 2026 , wakati wa hafla za uvunjaji wa Kamati mbalimbali za NMB Mapinduzi Cup 2026 na kukabidhiwa Ripoti ya Michuano hiyo iliyomalizika hivi karibuni na kupatikana Bingwa wa NMB Mapinduzi Cup Timu ya Yanga katika mchezo wa Fainali uliyofanyika Uwanja wa Gombani Pemba kuibuka mshindi kwa kuifunga Timu ya Azam,hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya New Amaan Complex Zanzibar.
TAB Kinondoni Yapokea Msaada wa Fimbo kutoka Meridianbet
-
MERIDIANBET Tanzania imeendeleza dhamira yake ya kurudisha kwa jamii kwa
kutoa msaada wa fimbo maalum za kutembelea (walking canes) kwa watu
wasioona jiji...
7 hours ago






0 Comments