Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) akiwasilisha bungeni Dodoma Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali katika kipindi cha muda wa kati kwa mwaka 2026/2027 hadi 2028/2029.
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) akiwasilisha bungeni Dodoma Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali katika kipindi cha muda wa kati kwa mwaka 2026/2027 hadi 2028/2029.
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Mhe. Dkt. Pius Stephen Chaya, wakifuatilia uwasilishaji wa Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali katika kipindi cha muda wa kati kwa mwaka 2026/2027 hadi 2028/2029, bungeni Dodoma.jpg)
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), akiwasilisha mezani hati bungeni Dodoma kuhusu Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali katika kipindi cha muda wa kati kwa mwaka 2026/2027 hadi 2028/2029..jpg)
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Alexander Mkumbo, baada ya kuwasilisha bungeni Dodoma Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali katika kipindi cha muda wa kati kwa mwaka 2026/2027 hadi 2028/2029.
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya (wa kwanza kushoto mstari wa pili juu) na viongozi wengine wakifuatilia uwasilishaji wa Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali katika kipindi cha muda wa kati kwa mwaka 2026/2027 hadi 2028/2029, bungeni, jijini Dodoma.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha)
.jpg)
.jpg)
0 Comments