6/recent/ticker-posts

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa Afrika (AU)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa Afrika (AU) unaoongozwa na kauli mbiu ya Mwaka 2026 inayosema “kuhakikisha Upatikanaji Endelevu wa Maji na Huduma Salama za Usafi wa Mazingira ili kufikia Malengo ya Ajenda ya 2063” kauli mbiu hiyo inalenga kuhimiza hatua za pamoja za Bara katika kuhakikisha Usalama wa Rasilimali Maji, Afya ya Jamii na Maendeleo Endelevu, Mkutano huo unafanyika Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) Addis Ababa Ethiopia. tarehe 14 Februari, 2026.  




Post a Comment

0 Comments