. Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana
na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda mara baada ya
kuwasili katika Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma
tarehe 24 Februari, 2026.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu
Hassan akiwa amesimama wakati wimbo wa Taifa ukiimbwa mara baada ya kuwasili
katika Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma tarehe 24
Februari, 2026.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga
light pistol juu kuashiria uzinduzi wa jengo la Makao Makuu ya Ulinzi wa
Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma tarehe 24 Februari, 2026.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu
Hassan akimkabidhi bendera Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob
John Mkunda katika Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma
tarehe 24 Februari, 2026.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu
Hassan akitoa Tamko la Uzinduzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT),
Kikombo Mkoani Dodoma tarehe 24 Februari, 2026.
Matukio
mbalimbali katika uzinduzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo
Mkoani Dodoma tarehe 24 Februari, 2026.
Taswira
ya Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma mara baada ya
kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 24 Februari, 2026
Matukio
mbalimbali katika uzinduzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo
Mkoani Dodoma tarehe 24 Februari, 2026.
Matukio
mbalimbali katika uzinduzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo
Mkoani Dodoma tarehe 24 Februari, 2026.

.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)

0 Comments