
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mjadala uliohusu mada ya “Serikali na Mustakabali wa Uwekezaji Mtazamo wa Afrika” kwenye Jukwaa la Serikali za Dunia (WGS2026), Madinat Jumeirah, Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
.jpeg)


0 Comments