6/recent/ticker-posts

Waziri wa Fedha na Mipango Juma Malik Akili afanya ziara Taasisi ya Wahasibu Amani Zanzibar

Waziri wa Fedha na Mipango Juma Malik Akili akisisitiza jambo wakati akizungumza na Wahasibu,Wakaguzi na Washauri Elekezi  alipofanya  ziara katika Taasisi hio Amani Zanzibar.
Waziri wa Fedha na Mipango Juma Malik Akili akizungumza na Wahasibu,Wakaguzi na Washauri Elekezi wakati alipofanya  ziara katika Taasisi hio Amani Zanzibar.
Waziri wa Fedha na Mipango Juma Malik Akili (KULIA)akipatiwa Maelezo na Mkurugenzi Mtendaji  wa Taasisi ya Wahasibu,Wakaguzi na Washauri Elekezi CPA Ame Burhan Shadhil  wakati alipofanya ziara katika Taasisi hio Amani Zanzibar.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dk Hamad Omar Bakari(KUSHOTO)akipatiwa Zawadi ya Saa yenye Picha yake na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wahasibu,Wakaguzi na Washauri Elekezi  Juma Amour Mohamed wakati alipofanya ziara katika Taasisi hio  Amani  Zanzibar.
Waziri wa Fedha na Mipango Juma Malik Akili akizungumza na Wahasibu,Wakaguzi na Washauri Elekezi wakati alipofanya  ziara katika Taasisi hio Amani Zanzibar.
Waziri wa Fedha na Mipango Juma Malik Akili (KUSHOTO)akipatiwa Zawadi ya Saa yenye Picha yake na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wahasibu,Wakaguzi na Washauri Elekezi  Juma Amour Mohamed wakati alipofanya ziara katika Taasisi hio  Amani  Zanzibar.

Waziri wa Fedha na Mipango Juma Malik Akili (KULIA)akipatiwa Maelezo na Mkutubi wa Taasisi ya Wahasibu,Wakaguzi na Washauri Elekezi Talha Hamad  wakati alipofanya ziara katika Taasisi hio Amani Zanzibar.


Mwenyekiti wa Taasisi ya Wahasibu,Wakaguzi na Washauri Elekezi CPA  Juma Amour Mohamed  akitoa hotuba ya makaribisho  katika Mkutano na  Waziri wa Fedha na Mipango Juma Malik Akili wakati alipofanya ziara katika Taasisi hio Amani Zanzibar.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dk Hamad Omar Bakari akizungumza kuhusiana na Utekelezaji wa Majukumu ya Wahasibu katika  Mkutano na  Waziri wa Fedha na Mipango Juma Malik Akili wakati alipofanya ziara katika Taasisi ya  Wahasibu,Wakaguzi na Washauri Elekezi Amani  Zanzibar.

Baadhi ya Wageni Waalikwa na Wahasibu ,Wakaguzi na Washauri waliohudhuria katika Mkutano wa Waziri wa Fedha na Mipango Juma Malik Akili wakati alipofanya ziara katika Taasisi ya Wahasibu,Wakaguzi na Washauri Elekezi Amani Zanzibar.


 

Post a Comment

0 Comments