MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Puma Energy
Tanzania Bi.Fatma Abdallah akizungumza na kutowa maelezo kuhusiana na huduma
zinazotolewa na kampuni yake wakati wa hafla ya Iftar maalumu iliyoandali Puma
Energy Tanzania katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar Kiembesamaki
Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar. 6-3-2026.
MKUU wa Idara ya Mahusiano na Sheria Kampuni ya Puma
Energy Tanzania Emmanuel .G.Bakitana akizungumza na kuwakaribisha wageni
waalikwa Viongozi na Wananchi katika hafla ya Iftart iliyoandaliwa na kampuni
yake kwa Wadau wa Puma Zanzibar, iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden
Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”Unguja Jijini
Zanzibar.6-3-2026.
MGENI Rasmin Waziri wa Maji,Nishati na Madini
Zanzibar Mhe.Nadir Abdullatif Al-Wardy, akiwa katika ukumbi wa Hotel I ya
GoldenTulip Zanzibar na viongozi mbalimbali na wananchi katika hafla ya Iftar
iliyoandaliwa na Kampuni ya Puma Energy Tanzania kwa wadau wao.6-3-2026.
MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Puma Energy Tanzinia
Bi.Fatma Abdallah (katikati) akiwa na Viongozi na Wananchi katika hafla ya
Iftar iliyoandaliwa na kampuni Puma Energy, iliyofanyika katika ukumbi wa
Hoteli ya Golden Tulip Uwanja Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
Jijini Zanzibar.6-3-2026.
KIKUNDI cha Shajaratul Mubarak wakisomo Qasida maalumu
wakati wa hafla wa Iftar iliyoandaliwa na Kampuni ya Puma Energy Tanzania iliyofanyika
katika ukumbi wa Hotel ya Goldentulip Zanzibar Uwanja wa Ndege Kiembesamaki
Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar.
WAZIRI wa Maji,Nishati na Madini Zanzibar Mhe.Nadir
Abdullatif Al-Wardy akijumuika na viongozi na wananchi katika hafla ya Iftar
iliyoandaliwa na Kampuni ya Puma Energy Tanzania, iliyofanyika katika ukumbi wa
Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja Jijini Zanzibar.6-3-2026.
MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Puma Energy
Tanzania Bi.Fatma Abdallah (kulia kwake) Mhe. Tabia Maulid Mwita, wakijumuika na Viongozi mbalimbali na Wadau wa
Puma Zanzibar katika hafla ya Iftar
iliyoandaliwa na Kampuni ya Puma Energy Tanzania katika ukumbi wa Hoteli ya
Golden Tulip Zanzibar Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja Jijini Zanzibar.6-3-2026. 
NAIBU Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Mahmoud Muusa
Wadi akizungumza na kutowa nasaha zake watika wa hafla ya Iftar iliyoandaliwa
na Kampuni ya Puma Energy Tanzania iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya
GoldenTulip Zanzibar Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”Unguja Jijini
Zanzibar.6-3-2026. 
MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Puma Energy
Tanzania Bi.Fatma Abdallah akizungumza na kutowa maelezo kuhusiana na huduma
zinazotolewa na kampuni yake wakati wa hafla ya Iftar maalumu iliyoandali Puma
Energy Tanzania katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar Kiembesamaki
Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar. 6-3-2026.
MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Puma Energy
Tanzania Bi.Fatma Abdallah akizungumza na kutowa maelezo kuhusiana na huduma
zinazotolewa na kampuni yake wakati wa hafla ya Iftar maalumu iliyoandali Puma
Energy Tanzania katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar Kiembesamaki
Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar. 6-3-2026.
WAZIRI wa Maji, Nishati na Madini Zanzibar Mhe.Nadir
Abdullatif Al-Wardy akizungumza na kutowa nasaha zake
wakati wa hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Kampuni ya Puma Energy Tanzania kwa
Wadau wake Zanzibar, iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip
Zanzibar Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”Unguja Jijini
Zanzibar.6-3-2026.
WADAU wa Kampuni ya Puma Energy Tanzania
wakifuatilia hutuba ya mgeni rasmin Waziri wa Maji,Nishati na Madini Zanzibar
Mhe.Nadir Abdullatif Al-Wardy, baada ya kumalizika kwa hafla ua Iftar
iliyoandaliwa na Puma Energy Tanzania katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar Kiembesamaki
Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar.6-3-2026.
MUWAKILISHI wa Kampuni ya Puma Energy Tanzania Ndg.Ali
Rashid akitowa neno la shukrani kwa niaba ya Uongozi wa Puma Energy Tanzania,
baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftar iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya
Golden Tulip Zanzibar Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja Jijini Zanzibar.6-3-2026. 

0 Comments