MENEJA WA BENKI YA TAIFA YA BIASHARA TAWI LA ZANZIBAR RAJAB MAALUM KULIA AKIMKABIDHI MSAADA WA MADESKI MWENYEKITI WA KAMATI YA MAENDELEO YA SKULI YA MAUNGANI HASSAN ALI MZEE KUSHOTO IKIWA NI MSAADA KWA BENKI HIYO KWA KWA SKULI HIYO MAKABIDHIANO HAYO YAMEFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA SKULI HIYO MAUNGANI JANA.
TANAPA YATUNUKIWA TUZO YA JUU ULAYA KWA MARA YA SITA MFULULIZO
-
Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limetunukiwa tuzo ya hadhi ya juu kwa
mara ya sita mfululizo iitwayo European Quality Choice Diamond ya mwaka
2025 k...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment