Habari za Punde

MKUTANO WA BAJETI YA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR MWAKA 2010/2011

WAZIRI WA NCHI AFISI YA RAIS ANAYESHUGHULIKIA FEDHA NA UCHUMI, DK . MWINYIHAJI MAKAME AKIWA NA MKOBA WAKE WANYE BAJETI YA SERIKALI AKIINUA JUU KUWAONESHA WANANCHI KATIKA VIWANJA VYA BARAZA LA WAWAKILISHI ALIPOWASILI.
WAZIRI WA NCHI AFISI YA RAIS IKULU ANAYESHUGHULIKIA FEDHA NA UCHUMI ZANZIBAR DK MWINYIHAJI MAKAME AKIINGIA KATIKA UKUMBI WA BARAZA LA WAWAKILISHI TAYARI KWA KUISOMA KWA WAJUMBE BARAZA NA WANANCHI.

WAZIRI WA NCHI AFISI YA RAIS IKULU ANAYESHUGHULIKIA FEDHA NA UCHUMI ZANZIBAR DK. MWINYIHAJI MAKAME AKISOMA HUTUBA YA BAJETI YA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KWA MWAKA WA FEDHA WA 2010 / 2011.


WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI KAMBI YA UPIZANI WA CUF WAKIFUATILIA HUTUBA YA BAJETI IKISOMWA NA WAZIRI ANAYESHUGHULIKIA FEDHA NA UCHUMI DK. MWINYIHAJI MAKAME.



WAANDISHI WA HABARI WA VYOMBO MBALIMBALI LILIOKO ZANZIBAR WAKIWA MAKINI KUSIKILIZA HUTUBA YA WAZIRI YA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2010 / 2011, IKIWASILISHWA.




WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI WA CCM WAKIFUATILIA HUTUBA YA BAJETI KATIKA KIKAO CHA BARAZA CHA KUPITISHA BAJETI KWA MWAKA 2010 / 2011.





VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WAKIFUATILIA BEJETI YA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR IKISOMWA.






MAKATIBU WAKUU NA WAKURUGENZI WA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR WAKIFUATILIA HUTUBA YA BAJETI IKISOMWA NA WAZIRI HUSIKA.







VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WAKISIKILIZA HUTUBA YA BAJETI YA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR IKISOMWA NA WAZIRI WA NCHI AFISI YA RAIS IKULU ANAYESHUGHULIKIA FEDHA NA UCHUMI DK. MWINYIHAJI MAKAME AKIWASILISHA BAJETI YA SERIKALI.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.