6/recent/ticker-posts

WAKISHANGILIA MATOKEO YA KURA YA MAONI

VIJANA hawa wakishangilia ushindi wa kura ya maoni baada ya kutangazwa na Mwenyekiti wa tume ya Uchaguzi Zanzibar, wakipita katika mitaa ya Malindi wakitokea Hoteli ya Bwawani kulikotangazwa matokeo hayo baada ya kupigwa kura ya maoni.

Post a Comment

0 Comments