Habari za Punde

DK SHEIN AWASHUKURU WANACCM WA MIKOA MIWILI YA PEMBA, BANDATAKA CHAKECHAKE, PEMBA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,Dk Ali Mohamed Shein,akiwahutubia wananchi wa CCM wa Mikoa miwili ya Pemba,na kuwashukuru kwa kumchagua katika uchaguzi mkuu uliopita,mwaka jana na kuwa Rais wa zanzibar,katika Uwanja wa Bandataka jana
 BAADHI ya wananchi waliojitokeza katika Mkutano wa hadhara wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akihutubia.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akisalimiana na Dk Maua Daftari alipowasili viwanja vya Bandataka, Chakechake kwa ajili ya kuwashukuru wanaCCM wa visiwa vya Pemba.

MAMA Mwanamwema Shein pamoja na Dk Maua Daftari pia walikuwepo katika mkutano uliofanyika Bandataka.
Katibu Msaidizi Wilaya ya Wete Pemba Zulfa Abdalla,akisoma risala kwa niaba ya mikoa miwili ya Pemba, wakati wa Mkutano wa hadhara wa kuwashukuru wananchi wa mikoa hiyo,kwa kufanikisha uchaguzi wa huru na salama kwa kuchagua chama cha Mapinduzi na kuongoza katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu liopita,hatimae Dk Ali Mohamed Shein Kuwa Rais wa Zanzibar

Picha na Ramadhan Othman, Pemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.