Habari za Punde

PRISON KENYA WANAUME NA NIC UGANDA WANAWAKE WAIBUKA MABINGWA KLABU BINGWA AFRIKA MASHARIKI

 WAZIRI wa Habari,Utamanu, Utalii na Michezo Abdilla Jihad Hassan akimkabidhi Nahodha wa Timu ya Prison ya Kenya Chester Kioko, Kombe la Ubingwa na Michuano ya Kombe la Klabu Bingwa Afrika Mashariki, katika mchezo wa fainali uliozikutanisha timu hiyo na Polisi uya Zanzibar na kutoka sare ya 44-44, timu ya Prison ina magoli mengi ya kufunga.  
 WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Abdilla Jihad Hassan akimkabidhi Kombe la Mshindi wa Pili Wanaume  Nahodha wa Timu ya Polisi Ramadhani Zimbwe.
WAZIRI wa Habari Utamaduni, Utalii na Michezo Abdilla Jihad Hassan akimkabidhi  Nahodha wa Timu ya NIC Uganda Wanawake  Birungi Desire Kombe la Ubingwa wa Klabu Bingwa Afrika Mashariki baada ya kuifunga timu ya JKT katika mchezo wa Fainali ya Mashindano hayo uliofanyika Uwanja wa Gmykhana timu ya NIC imeshinda kwa 50-42.    
WAZIRI wa Habari Utamaduni Utali na Michezo Abdilla Jihad Hassan akimkabidhi Kombe la Mshindi wa Pili Wanawake Nahodha wa timu ya JKT Evodia Kazinja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.