WANAFUNZI wakiwa wakipata lifti ya baskeli wakitoka skuli wakikatisha mitaa ya Michezani, uchukuwaji wa abiria kama hivi unaweza kuleta madhara kwa watumiaji wa chombo hicho kimechukuwa kupita uwezo wake.
MVUA ZAADHIRI MAKAZI YA WANANCHI HOLILI.
-
WANANCHI wa Kitongoji cha Shuleni, Kijiji cha Holili Vijijini wilayani
Rombo mkoani Kilimanjaro, wamelalamikia athari za maji ya mvua
yaliyoelekezwa kwen...
49 minutes ago
0 Comments