Akina mama wa vijiji vya mbali mbali kisiwani pemba wakiwa katika sala ya Eid Al Hajj,iliyosaliwa kitaifa katika viwanja vya Gombani Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na waumini wa Dini ya Kiislamu wa kisiwani Pemba,baada ya kuswali kwa pamoja na wananchi hao, Sala ya Eid Al Hajj kitaifa,iliyosaliwa katika viwanja vya Gombani Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na wananchi na waumini wa Dini ya Kiislamu wa kisiwani Pemba,baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al Hajj kitaifa,iliyosaliwa katika viwanja vya Gombani Pemba
Waumini wa Dini ya kiislamu wa Vijiji mbali mbali vya Kisiwani Pemba,walijimuika katika viwanja vya Gombani Pemba katika sala ya kitaifa ya Eid Al Hajj iliyosaliwa hapo
Waumini wa Dini ya kiislamu wa Vijiji mbali mbali vya Kisiwani Pemba,walijimuika katika viwanja vya Gombani Pemba katika sala ya kitaifa ya Eid Al Hajj iliyosaliwa hapo
Viongozi mbali mbali wa Serikali na Vyama vya siasa na waumini wa Dini ya Kiislamu wakiwa katika sala ya Eid Al Hajj, iliyosaliwa kitaifa jana katika viwanja vya Gombani Pemba .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk Ali Mohamed Shein,alijumuika na waumini wa Dini ya Kiislamu wa kisiwani Pemba,katika Sala ya Eid Al Hajj kitaifa,iliyosaliwa katika viwanja vya Gombani Pemba,iliyosaliswa na Sheikh Ali Silima Khamis wa masjid Ridhaa Madungu
Picha na Ramadhan Othman, Pemba
No comments:
Post a Comment