Kocha wa timu ya Uhamiaji Kocha Juma, akiwa na butwaa baada ya timu yake kufungwa na timu ya Polisi Briger, katika mchezo wa ligi daraja la Pili Unguja iliofanyika uwanja wa Mao.
Mchezaji wa timu ya Polisi Briger Hassan Chum, akiwa na mpira na beki wa timu ya Uhamiaji Chande Said akijiandaa kumzuiya katika mchezo wa ligi daraja la Pili uliofanyika uwanja wa Mao timu ya Polisi imeshinda 3-1
No comments:
Post a Comment