Habari za Punde

Dkt Bilal Aanza Ziara ya Mkoa wa Iringa

.Makamu wa Rai wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti wa matunda wa kumbukumbu katika eneo la Chuo cha VETA cha Wilayani Makete mkoa wa Iringa, baada ya kuweka jiwe la msingi katika chuo hicho ikiwa ni siku ya kwanza ya ziara yake ya mkoani Iringa jana Februari 27, 2012. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka jiwe la Msingi katika Soko lililojengwa kwa nguvu za wananchi la Mfumbi, baada ya kuwasili Wilaya ya Makete kuanza ziara ya siku tatu mkoani humo jana Februari 27, 2012

Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.