Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Miembeni United na Zimamoto (FAYA) Matokeo Sare.

 Beki wa timu ya Miembeni United jezi nyuepe na mshambuliaji wa timu ya Zimamoto wakiwania mpira katika mchezo wa ligi kuuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Mao, timu hizo zimetoka sare ya o-o. 
 Mshambuliaji wa timu ya Miembeni United Mbwana Said,akimpita beki wa timu ya Zimamoto Salmin Juma, katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Mao.
 Mshambuliaji wa timu ya Zimamoto Makame Hamad, akijaribu kumvisha kanzu beki wa timu Miembeni United Salum Said,
 Beki wa timu ya Miembeni United Azizi Shaweji, akiwapita wachezaji wa timu ya Zimamoto, katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Mao, timu hizo zimetoka sare. 
 Mshambuliaji wa timu ya Zimamoto Hakim Khamis, akimiliki mpira, huku beki wa timu ya Miembeni United Azizi Shaweji akijaribu kumzuiya.    
 Golikipa wa timu ya Zimamoto akiokoa moja ya matari golini kwake.wakati wa hekaheka za timu ya Miembeni United, kutafuta bao katika mchezo huo wa ligi kuu ya Zanzibar.  
Beki wa timu ya Miembeni United Azizi Shaweji na mchezaji wa timu ya Zimamoto Salum Juma wakiwania mpira.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.