Baadhi ya Washiriki wa Mkutano wa Kutatua na Kujadili Mwongozo wa Ujumuishaji wa Masuala ya Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Ngosi pichani hayupo pichani Wakati wa Ufunguzi wa Mkutano huko Giraffe Hotel Mjini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng Ngosi Mwihava akiwa katika Picha ya Pamoja na washiriki wa Mkutano wa wadau Kupitia na kujadili Mwongozo wa ujumuishaji wa Masuala ya kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi inayofanyika Hotel ya Giraffe Ocean View Mjini Dar es Salaam
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng Ngosi Mwihava akizungumza na Mkugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bi Magdalena Mtenga wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa kutatua na kujadili Mwongozo wa Ujumuishaji wa Masuala ya Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi Kwenye Hotel ya Giraffe Ocean View [Picha na Ali Meja]
No comments:
Post a Comment