Habari za Punde

Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakichangia Mswada wa Mfuko wa Jimbo.

Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi Haroun Ali Suleiman, akichangia mswada wa Mfuko wa Jimbo uliowasilishwa huo kwa niaba ya Wananchi wa jimbo lake. ili kuleta maendelea ya jimbo.
 Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakifuatilia michango ya Mswada wa Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo uliowasilishwa katika Baraza, wakiwa katika ukumbi wa baraza wakiendelea na Kikao.  
 Mwakilishi wa Mjimkongwe Ismail Jussa, akichangia mswada huo wa Mfuko wa maendeleo ya Majimbo uliowakilishwa katika kikao cjha Mkutano mwa Baraza kinacoendelea kujadili.  
 Wajumbe wa Baraza wakifuatlia michango inayochangiwa na Wajumbe wa Baraza
 Mwakilishi wa Mkuwajuni Mbarouk Hassan Wadi Mussa. Mtando, nae amepata fursa ya kuchangia mshwada huo uliowakilishwa katika kikao cha Baraza kuujadili.
 
Wajumbe wakifuatilia mswada huo wakati wa uchangia ukiendelea kuchangiwa na Wajumbe wa Baraza.   
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakibadilishana mawazo baada ya kumaliza kikao cha asubuhi kuchangia mswada wa Mfuko wa Jimbo.wakitoka katiksa ukumbi wa mkutano.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakitoka katika jengo la Baraza baada ya kumaliza kikao cha asubuhi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.