Habari za Punde

Dk Shein Ahitimisha Ziara ya Mkoa wa Kusini Unguja


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) alipokuwa akizungumza na watendaji wa Ofisi za Serikali Mkoa wa Kusini Unguja, katika mkutano wa majumuisho uliofanyika katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Zanzibar Tunguu jana ,baada ya kumaliziki kwa ziara katika Mkoa huo


Baadhi ya Viongozi na watendaji katika ofisi mbali mbali za Mkoa wa Kusini Unguja,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa na mazungumzo na watendaji hao katika mkutano wa majumuisho ya ziara aliyoifanya katika Mkoa wa Kusini Unguja,mkutano huo ulifanyika jana katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Zanzibar Tunguu,Wilaya ya Kati Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.