Menu

Saturday, May 19, 2012

Katibu Mkuu wa Wizra ya  Mawasiliano na Miundombinu  Zanzibar Dk.Vuai Iddi Lila akitia Saini kwa niaba ya Serekali ya Mapinduzi Zanzibar na Msaidizi Meneja wa Kampuni ya SOGEA ya Ufaransa  kanda ya Afrika Mashariki Laurent Brouet kwa ajili ya Ujenzi wa Maegesho na Utanuzi wa Barabara ya kutulia na kurukia Ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, utiaji wa saini huo umefanyika katika Ofisi ya Wizara ya Mawasiliano Zanzibar.(Picha na Talib Ussi Maelezo Zanzibar)

No comments:

Post a Comment