Katibu Mkuu wa Wizra ya Mawasiliano na Miundombinu Zanzibar Dk.Vuai Iddi Lila akitia Saini kwa niaba ya Serekali ya Mapinduzi Zanzibar na Msaidizi Meneja wa Kampuni ya SOGEA ya Ufaransa kanda ya Afrika Mashariki Laurent Brouet kwa ajili ya Ujenzi wa Maegesho na Utanuzi wa Barabara ya kutulia na kurukia Ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, utiaji wa saini huo umefanyika katika Ofisi ya Wizara ya Mawasiliano Zanzibar.(Picha na Talib Ussi Maelezo Zanzibar)
MAADHIMISHO YA MIAKA 25 YA JUMUIYA YA TATHIMINI AFRIKA ( AfrEA ) WAFANYIKA
ADDIS ABABA-ETHIOPIA
-
Na Mwandishi Wetu – Addis Ababa, Ethiopia
Tanzania imeshiriki Maadhimisho ya Miaka 25 ya Jumuiya ya Tathmini Afrika
(AfrEA) yanayofanyika kwa siku tatu...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment