Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Bi. Triphonia Thadei Mng'ong'o hati ya kiwanja chake kilichopo Mtuba jijini Dodoma, alipotembelea Kliniki ya Ardhi kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 12, 2025. Katikati ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geofrey Pinda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
NAMELOCK ALIVYOPOKEWA KWA KISHINDO MONDULI,AMSHUKURU RAIS SAMIA KWA HESHIMA
KUBWA YA KUUNYANYUA MKOA WA ARUSHA
-
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,Ndugu Namelock Edward
Sokoine, amepokelewa kwa hamasa,nderemo, vifijo na umati wa Wananchi leo
Juma...
54 minutes ago
No comments:
Post a Comment