Habari za Punde

WAZIRI MKUU ATEMBELEA MABANDA YA MAONESHO KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA UELEWA KUHUSU UALBI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mkurugenzi wa Taasisi ya World Share, Bw. Worm Ann (wa pili kushoto) alipotembelea banda la maonesho la taasisi hiyo akimwakiliasha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya  Uelewa kuhusu Ualbino kwenye uwanja wa Mwanga Centrę Mjini Kigoma, Juni 13, 2025.  Wa pili kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira, na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete na kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Ummy Nderiananga
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kansa ya Ocean Road, Dr. Diwani Msemo alipotembelea banda la maonesho la taasisi hiyo  akimwakiliasha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siiku ya Kimataifa ya  Uelewa kuhusu Ualbino kwenye uwanja wa Mwanga Centrę Mjini Kigoma, Juni 13, 2025.  Kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Watu Wenye Ualbino Tanzania, Godson Mollel.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mkurugenzi wa Taasisi ya World Share, Bw. Worm Ann ( kushoto) alipotembelea banda la maonesho la taasisi hiyo akimwakiliasha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya  Ulewa kuhusu Ualbino kwenye uwanja wa Mwanga Centrę Mjini Kigoma, Juni 13, 2025.  Wa pili kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete na kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Ummy Nderiananga
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mweka Hazina wa Chama cha Watu Wenye Ualbino Tanzania, Abdilah Omar  (wa tatu kushoto) alipotembelea mabanda ya maonesho akimwakiliasha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya  Uelewa kuhusu Ualbino Kwenye uwanja wa Mwanga Centrę Mjini Kigoma, Juni 13, 2025. Wa tatu kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye na kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Watu Wenye Ualbino Tanzania, Godson Mollel.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.