Habari za Punde

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Atangaza Matokeo ya Kura za Urais za Majimbo ya Fuoni na Kiembesamaki Zanzibar.

4 comments:

 1. Laanatullah laana za mwenyezi Mungu ziwe juu yenu wizi wakubwa, lakini mara hii hatukubali kazi yenu ni dhulma tu hamna ata aibu

  ReplyDelete
 2. wewe ni mjinga sana hakuna cha dhuluma

  ReplyDelete
 3. Inahusu nini kusema maneno ya uchochezi, hebu tustaarabike.
  Hata wagombea wetu wote wanalijua hilo.

  ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.