Habari za Punde

Innaa Lillaahi Wainnaa ilayhi Raajiuun Buriani Marin Hassan Marin. Wafanyakazi wa TBC Wauaga Mwili wa Marehemu Katika Viwanja Vya Mikocheni Jijini Da es Salaam Mchana Huu na Kupelekwa Masjid Maamur Upanga Kwa Ajili Taratibu za Kusafirisha Mwili wa Marehemu Kuelekea Zanzibar Kwa Maziko

Mwili wa Marehemu unatarajiwa kuwasili Zanzibar  majira ya mchana kwa Ndege na kuendelea na taratibu za Maziko yatafanyika katika Mtaa wa Kibweni Wilaya ya Magharibi  Unguja baada ya Sala la Alasiri jioni leo saa.10.00.   

Marehemu amefariki leo katika majira ya saa 8 45 katika Hospitaliu ya Lugalo Jijini Dar es Salaam

Mwili wa Marehemu unatarajiwa kuzikwa leo baada ya Sala ya Alasiri Kibweni Wilaya ya Magharibi Unguja.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.