Habari za Punde

KONGAMANO LA KUIMARISHA AMANI LAFANYIKA ZAZNIBAR.

Mgeni Rasmi CP Afande Kombo Khamis Kombo akisisitiza jambo wakati akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Kongamano la Kuimarisha Amani kupitia Mijadala ya Maelewano baina ya Jeshi la Polisi na Vyombo vya Habari lililofanyika katika Ukumbi wa Polisi Ziwani Zanzibar.
Mratibu wa Kongamano Ramadhan Himidi akitoa hotuba ya Makaribisho katika Kongamano la Kuimarisha Amani kupitia Mijadala ya Maelewano baina ya Jeshi la Polisi na Vyombo vya Habari lililofanyika katika Ukumbi wa Polisi Ziwani Zanzibar.
Mkuu wa Utawala DCP Saimon Chillery akitoa hotuba ya makaribisho kwa Mgeni Rasmi katika Kongamano la Kuimarisha Amani kupitia Mijadala ya Maelewano baina ya Jeshi la Polisi na Vyombo vya Habari lililofanyika katika Ukumbi wa Polisi Ziwani Zanzibar.
Sheikh Thabit Nooman Jongo kutoka Ofisi ya Mufti akisisitiza jambo wakati akichangia Mada katika Kongamano la Kuimarisha Amani kupitia Mijadala ya Maelewano baina ya Jeshi la Polisi na Vyombo vya Habari lililofanyika katika Ukumbi wa Polisi Ziwani Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Kongamano la Kuimarisha Amani kupitia Mijadala ya Maelewano baina ya Jeshi la Polisi na Vyombo vya Habari lililofanyika katika Ukumbi wa Polisi Ziwani Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi wa Jeshi la Plisi wakifuatilia Mijadala na Mada mbalimbali zilizotolewa katika hafla ya Kongamano la Kuimarisha Amani kupitia Mijadala ya Maelewano baina ya Jeshi la Polisi na Vyombo vya Habari lililofanyika katika Ukumbi wa Polisi Ziwani Zanzibar. 

CP Afande Kombo Khamis Kombo katikati akiwa katika Picha ya Pamoja na Viongozi na Waandishi wa Habari katika hafla ya Ufunguzi wa Kongamano la Kuimarisha Amani kupitia Mijadala ya Maelewano baina ya Jeshi la Polisi na Vyombo vya Habari lililofanyika katika Ukumbi wa Polisi Ziwani Zanzibar.
Picha na Yussuf Simai - Maelezo  Zanzibar 22/07/2025.I

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.