Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi Amishiriki Hauli ya Marehemu Salim Turky Iliyofanyika Nyumbani Kwake Mpendae Jijini Zanzibard


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Mpendae Zanzibar Mhe.Toufiq Salim Turky, alipowasili nyumbani kwa marehemu Salim Turky Mpendae Wilaya ya Mjini Unguja,kwa ajili ya kuhudhuria kisomo cha Hitma na Dua (hauli) ya kumuombea Marehemu Salim Turky aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mpendae Zanzibar, kisomo hicho kilichofanyika 20-7-2025.


 
























RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Mjane wa Marehemu Bi.Tamima Juma (kulia kwa Rais) na Watoto Wanaofadhiliwa na Taasisi ya Salim Turky Foundation Zanzibar, wakiitikia dua ikisomwa na mmoja wa Watoto hao, baada ya kumalizika kwa Kisomo cha Hitma na Dua (Hauli) ya kumuombea Marehemu Salim Turky aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mpendae Zanzibar,iliyofanyika nyumbani kwa marehemu Mpendae Wilaya ya Mjini Unguja .20-7-2025



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.