Habari za Punde

LUSAJO SAJENT WA SERENA HOTELI NA NEEMA MATOWE WALIVYO MEREMETA


 Bwana Harusi Lusajo Sajent Mwangambaku (kushoto), akiwa katika pozi na mke wake Neema Stanley Matowe katika hafla yake ya ndoa iliyofanyika Ukumbi wa Mirando Sinza jijini Dar es Salaam juzi. Bwana harusi anatoka Tukuyu mkoani Mbeya na Bibi Harusi anatoka Mkoa wa Morogoro.

Wapambe wa maharusi hao wakiwa kwenye pozi. Kulia ni Bwana Yohana na mkewe Bi. Jenifa Yohana.
Maharusi  wakiwa na wapambe wao.
 Mama wa bwana harusi akichukua msosi.
 Msanii wa kujitegemea akitoa burudani.
 Maharusi wakiserebuka kwa raha zao na wafanyakazi wenzao 
wa Serena Hoteli.
 Mziki ukiendelea.
 Mserebuko ukiendelea.
 Bwana harusi akiwa amepozi na mama yake,  Hilda Mulinde. Da kumbe harusi ni tamu.
 Sherehe ikiendelea.
 Wacheza shoo wakionesha umahiri wa kucheza kabla ya maharusi kuingia ukumbini.
 Maharusi wakiwa na Kulwa na Dotto Mwaibale katika 
sherehe hiyo.
 Maharusi wakiingia ukumbini.
 Shoo ikifanyika.
 Kamati ikienda kujitambulisha.
 Mwenyekiti wa Kamati ya harusi hiyo, Desdery Dotto akizungumza.
 Mama wa bwana harusi akisalimia wageni waalikwa.
 Maharusi wakikata keki.
 Mke akimlisha  keki na mmewe.
 Mme akimlisha keki mkewe
 Mama na mkwewe wakikumbatiana kwa furaha.
 Shampeni zikifunguliwa.
 Mume na mke wakinyweshana mvinyo.
 Wageni waalikwa wakiwapongeza maharusi.
 Dereva wa maharusi hao,  Mariam Mkumbukwa kutoka Europcar akiwa na furaha katika hafla hiyo.
 Picha ya pamoja hiyo.
Wafanyakazi wa Hoteli ya Serena wakiwa katika picha ya pamoja na maharusi hao.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.