Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya wananchi kwenye muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Dodoma tarehe 01 Septemba, 2025.
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiinadi Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya Uchaguzi Mkuu Mwaka 2025 kwenye muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho katika Wilaya mbalimbali za mkoa wa Dodoma tarehe 01 Septemba, 2025.
No comments:
Post a Comment