Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu
Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu kuashiria kurejesha kwa fomu ya
kugombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu
unaotarajiwa kufanyika 29 Oktoba, 2025 katika Ofisi za Tume hiyo Njedengwa
Jijini Dodoma tarehe 27 Agosti, 2025.
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu
Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaini fomu ya maadili mara baada ya kurejesha kwa
fomu ya kugombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika
Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika 29 Oktoba, 2025 katika Ofisi za Tume hiyo
Njedengwa Jijini Dodoma tarehe 27 Agosti, 2025.
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu
Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Fomu za kugombea nafasi ya Rais Mwenyekiti
wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufani Jacobs Mwambegele
katika Ofisi za Tume hiyo Njedengwa Jijini Dodoma tarehe 27 Agosti, 2025. Kushoto
ni Mgombea Mwenza Dkt. Emmanuel John Nchimbi.
No comments:
Post a Comment