Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali
mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam
tarehe 24 Agosti, 2025 kwa ajili ya kushiriki kwenye Kongamano la Amani
kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 lililoandaliwa na Umoja wa Maimamu Tanzania
(UMATA).
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali
pamoja na wageni waalikwa waliohudhuria Kongamano la Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu
wa 2025 lililoandaliwa na Umoja wa Maimamu Tanzania (UMATA) katika ukumbi wa
Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam tarehe 24 Agosti, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali pamoja
na wageni waalikwa waliohudhuria Kongamano la Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025
katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam tarehe 24 Agosti, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiombewa dua na watoto yatima wa
Kituo cha Watoto Yatima Mburahati mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa
Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam tarehe 24 Agosti, 2025 kwa ajili ya
kushiriki kwenye Kongamano la Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025
lililoandaliwa na Umoja wa Maimamu Tanzania (UMATA).
No comments:
Post a Comment