Habari za Punde

Benki ya CRDB Yatowa Elimu Kwa Wateja Wao Zanzibar Huduma za Fedha Kwa Njia ya Mtandao "Internet Benking"

Mkuu wa Idara ya Wateja Binafsi Benki ya CRDB Stephen Adili akizungumza na kutowa maelezo huduma mbalimbali zinazotolewa na benki ya CRDB wakati wa hafla ya ufunguzi wa mafunzo ya Huduma ya Fedha kwa Njia ya Mtandao "Internet Benking " yaliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar leo 20-8-2025. 
Meneja Biashara Benki ya CRDB Zanzibar Abdalla Duchi akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Huduma ya Fedha kwa Njia ya Mtandao Internet Benking, kwa Wateja wa benki ya CRDB Zanzibar, yaliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar leo 20-8-2025.  

















































No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.