Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri Mkuu wa Madagascar Mhe. Christian Ntsay wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ivato – Antananarivo leo tarehe 15 Agosti 2025.
Makamu wa
Rais anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan katika Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya
Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unaofanyika Antananarivo Madagascar kuanzia
tarehe 15 – 17 Agosti 2025.
Makamu
wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ivato – Antananarivo nchini Madagascar
leo tarehe 15 Agosti 2025.
No comments:
Post a Comment