RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akizungumza na Ujumbe wa Uongozi wa Al Madrasat Swifat Nabawiyati Karimah
(Msolopa) ukiongozwa na Mlezi wa Jumuiya ya Zawiya Kadiria Tanzania Sayyid
Othman Abdulkadir Othman (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika
ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 15-8-2025
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Al Madrasat Swifat Nabawiyatil
Karimah (Msolopa) baada ya kumaliza mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa
Ikulu Jijini Zanzibar leo 15-8-2025
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akisalimiana na kuagana na Mwalimu Mkuu wa Al Madrasat Swifat Nabawiyatil
Karimah (Msolopa) Zanzibar. Ustadh Mohammed Salum, baada ya kumaliza mazungumzo
na Uongozi huo na (kulia kwa Rais) Mlezi wa Jumuiya ya Zawiya Kadiria Tanzania
Sayyid Othman Abdulkadir Othman.
No comments:
Post a Comment