Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwanzilishi na
Mwenyekiti wa Airtel Bw. Sunil Bharti Mittal aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu
Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Agosti, 2025. Kikao hicho pia kilihudhuriwa na
uongozi wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwanzilishi na
Mwenyekiti wa Airtel Bw. Sunil Bharti Mittal, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe
13 Agosti, 2025.
No comments:
Post a Comment