Habari za Punde

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla Ameshiriki Matembezi Mama Mariam Mwinyi Walkathon Pemba

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ameshiriki katika matembezi ya mama Maryam Mwinyi walkathon kwa ajili ufungaji wa kambi ya tano(5) ya matibabu ya afya Bora maisha Bora yaliyoanza ole kianga na kumaliza viwanja vya hospitali ya Wilaya Vitongoji Pemba.

Imetolewa na Kitengo cha Habari (OMPR) Tarehe 15.08.2025.





No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.